Monday, March 19, 2012

.........MA-STAR HAWA WAKO UKURASA MPYA WA MAPENZI........

Gazeti la The Sun limefunguka kwamba wasanii Tinie Tempah & Jessie J wako kwenye mapenzi mazito ambapo siku chache zilizopita kabla ya Jessie kuondoka kwenda kwenye Tour ya Australia alikaa kwa siku kadhaa kwenye nyumba ya Tinie huko East London na kuenjoy hiyo time sana wakiwa pamoja.
Kwa mara  ya kwanza walikutana miaka miwili iliyopita lakini uhusiano wao umezidi kuwa wa karibu zaidi kuanzia mwaka jana baada ya ba kuperform pamoja Royal Albert Hall ambapo rafiki wa karibu wa Jessie amesema wawili wao wamekua wakikutana kwenye nyumba ya Tinie mara kadhaa wanapokua off.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms