Monday, March 5, 2012

.......LINAH ZIARANI MAREKANI, ATAKAA KWA MIEZI MINNE.......

Linah atakaa Marekani kwa muda wa miezi minne kwa ziara ya kimuziki iliyoandaliwa na mbunge wa viti maalum Leticia Nyerere ambapo ataperfom kwenye zaidi ya majimbo 10 ya Marekani.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms