Monday, March 19, 2012

..............KUPENDWA NA AKINA DADA NI KARMA YANGU......
Kila mwanamuziki ana karma zake, huyu jamaa karma yake ni kupendwa na wadada, hapa pichani hizi ni picha za show ya Fally na leo huko Kinshasa kama alivyo zipandisha kwenye funpage yake, hebu angalia hapa kisha mwenyewe utakubali jamaa kwa Famme ni balaaa

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms