Monday, March 26, 2012

.......KATIKA PICHA NI BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WA T.I.........BAB KUBWAAA.....

Zonnique na Justin Combs mtoto wa P diddy, kabla ya hii party Zonnique amekua akiusifia uhandsome alionao Justin.
Mtoto wa T.I (Deyjah) akiwa na mama mzazi wa T.I wapili kutoka kulia.
Diggy Simmons & Zonnique.
Zonnique ni mtoto mke wa T.I, Tiny na hapa ni wakati akishuka kwenye gari walipofika kwenye party, na tayari chini kulikua na washkaji wanasubiri kumbeba juu juu birthday girl alietimiza umri wa miaka 16.
 huging time ikafika.
Supriseeeee....
                                       Gari aina ya Porsche Zonnique alilozawadiwa na T.I

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms