Friday, March 9, 2012

.......JIRANI WA KWELI NI YULE ANAYEKUFAA WAKATI WA SHIDA......

Mfanyabiashara ndogo akimuokoa mkazi wa Dar es Salaam, Charles Maina ambaye ni dereva wa kampuni ya Superdoll kutoka mikononi mwa vijana wanaodaiwa kuwa ni vibaka baada ya jaribio lao la kutaka kumpora mali zake kushindikana kama ilivyokutwa katika taa za kuongozea magari makutano ya barabara ya Nyerere na Kawawa. (Picha na Fadhili Akida).

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms