Thursday, March 22, 2012

........JAFFARAI KUTIMKIA SOUTH AFRICA.......

MSANII mkali wa muziki bongo, Jaffarai, amesema kuwa anatarajia kuondoka nchini Machi 26 au 27, kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanya shoo nchini humo.

Akiongea, alisema kuwa anaamini atatumia nafasi hiyo kulitangaza jina lake kwani ni nafasi pekee ambayo inaweza kumuweka katika kilele fulani cha mafanikio ndani ya muziki wake.

“Naenda kwa ajili ya kufanya shoo na hamna kitu kingine lakini naamini kutokana na uwezo wangu kila kitu kitaenda sawa na mashabiki wangu ambao wanaishi nchini humo watafurahi vya kutosha,” alisema

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms