Wednesday, March 7, 2012

.........INI EDO AVUTA USAFIRI MPYA......

MWIGIZAJI maarufu wa Nigeria, Ini Edo, ameonyesha thamani yake katika uigizaji baada ya kununua gari aina ya BMW X6.

Ini ameonekana mitaani akitanua na gari hilo linalong
'aa katika rangi nyeusi.

Mwigizaji huyo hakuwa tayari kuweka wazi thamani ya gari hilo, lakini imefahamika kwamba limemgharimu fedha nyingi.

Vile vile kuna habari kwamba anataka kufungua mgahawa mkubwa nchini kwake.

Imefahamika kuwa Ini amekuwa akipita katika migahawa mbalimbali kuangalia namna inavyofanya kazi ili kujifunza kazi hiyo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms