Wednesday, March 21, 2012

..........HUYU BINTI KUFUNGA NDOA JUMATATU.......

MSANII mwenye mvuto, Chidinma Chiaka, ameweka bayana kwamba anaolewa Jumatatu ijayo nje kidogo ya jiji la Lagos, lakini harusi itakuwa ya kimila.

Harusi yangu ya kimila itakuwa Jumatatu, sehemu moja inaitwa Umuofor Egbu, Owerri katika jimbo la Imo. Harusi ya Kanisani itafanyika mwezi mmoja ujao katika sehemu ambayo tutawaambia.

Msanii huyo anaolewa na Chukwebuka Okwundu, ambaye ni mtoto wa mmoja wa machifu wakubwa wa Nigeria.

Wasanii wengi wamekuwa wakifanya siri ndoa zao kutokana na imani za kishirikina pamoja na kuogopa magazeti ya udaku ambayo yamekuwa yakiibua kashfa na kuharibu mambo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms