Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Waombolezaji katika msiba wa marehemu Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Ndugu wa marehemu wakilia baada ya kuuona mwili wake Tabu Bakari Mwangela (58), aliyeuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mtu au watu wasiofahamika katika Kijiji cha Malamba wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
1 comments:
HUU UNYAMA SIYO WA KUFUMBIA MACHO HATA KIDOGO. ITABIDI IFIKIE WAKATI SERIKALI IWE INAWANYONGA WATU WANAOFANYA MAUAJI YA AIHA HII BILA HURUMA YOYOTE
Post a Comment