Monday, March 19, 2012

......HABARI NJEMA KWA WAREMBO WOTE.......WEWE NI MREMBO?? KAMA NDIYO NJOO USHIRIKI SHINDANO HILI.......

Wajanja blog inakuletea shindano bomba la kumtafuta msichana mrembo mwenye pozi la kudatisha. Kama unadhani wewe ni msichana mrembo na ni mtundu wa kupiga picha basi njoo ushiriki shindano hili. Zawadi nono itatolewa kwa mshindi wa kwanza mpaka wa tatu. Warembo wote watapiga picha inayofanana na picha na pozi la mwanamitindo hapo juu. Kushiriki tuma meseji kwenye namba hii 0715 199 869 kwa ajili ya maelekezo zaidi . Pia waweza kutuma email kwenda wajanja.dar1@gmail.com

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms