Saturday, March 31, 2012

.........DIAMOND AFANYA KWELI MLIMANI CITY......


Msanii mahiri wa kizazi kipya Diamond akiimba mbele ya umati wa watu ndani ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,kwenye onesho lake maalum iliyoitwa Diamond are Forever Concert
Diamond akiendelea kukamua mbele ya umati wa watu waliofika kulishuhudia onesho lake maalum linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini dar.Picha zaidi bofya hapa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms