Thursday, February 16, 2012

..........WAWILI WAKAMATWA JARIBIO LA WIZI WA GARI MWANANYAMALA.........

 Watu wakilitazama gari lililotaka kuibiwa
Askari wakiwachukua watuhumiwa, mmoja amesimama na mwingine amekaa (kulia).

 JESHI la  polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewakamata vijana wawili waliokuwa wakitaka kuiba gari ndani ya hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.
 Sakata hilo limetokea maeneo ya hospitali hiyo  na  kuvuta idadi ya watu wengi eneo hilo ambapo vijana hao waliohusika majina yao hayakupatikana na  walitiwa mbaroni na polisi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms