Tuesday, February 14, 2012

..........WATANZANIA WACHANGAMKIA BIG BROTHER......... MPAKA SASA WATU 250 WACHUKUA FOMU...........


Wiki moja toka MULTICHOICE TANZANIA kutangaza kuanza kugawa fomu za kushiriki shindano la BIG BROTHER AFRICA mwaka huu, imethibitika kwamba mpaka sasa wamechukua fomu zaidi ya watu 250.
Barbara Kambogi afisa uhusiano wa Multichoice Tanzania, amesema idadi hiyo ya fomu haihusishi za mikoani kama Mbeya, Mwanza na Arusha na pia fomu za online mnetafrica.com/bigbrother, mwamko umekua mkubwa sana mwaka huu na nafasi ya kuchukua fomu iko mpaka feb 27 2012.
Wote hao waliochukua fomu wamekubaliana na masharti ya mwaka huu kwamba watu wanakwenda wawili wawili, yani ukichukua fomu, utaamua kwenda na girlfriend wako, rafiki yako, mama yako, baba yako na mwingine yoyote.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms