Monday, February 6, 2012

........SIKU ZOTE MAJI HUFUATA MKONDO.........


Jasiri haachi asili na hii asili ndio ambayo watoto wetu wa leo wanakosa, mtoto hajui hata salamu ya kabila yao inasemwaje?, Pichani Nape Nauye akicheza na mtoto mdogo ngoma ya Ligobogobo ya Kisukuma kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza alipowasili kwa shughuli za kichama majuzi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms