Wednesday, February 29, 2012

............NIMENUNUA GARI MWENYEWE.......

KAMA wewe ni mwanaume na umewahi kumnunulia huyu binti gari jitokeze hadharani tukuone.

Empress Njamah ambaye aliachana na mumewe hivi karibuni, amenunua Range Rover wiki chache zilizopita.

Imekuwa ikivumishwa kwamba amenunuliwa gari hiyo na mfanyabiashara mmoja, lakini yeye amekanusha na kudai kama yupo ajitokeze.

Mwanaume yeyote anayesema kaninunulia gari ajitokeze na vielelezo vyake, naapa hakuna mwanaume amechangia fedha yake kwenye hili gari, aliasema.

Mimi sifanyi uigizaji peke yake, hii fani imenifungulia milango mingi sana ya vyanzo vya mapato, nina biashara zangu ambazo zinaniwezesha kununua hili gari

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms