Friday, February 24, 2012

......MASTAA WA NIGERIA WANAVYOTAMBA NA MAGARI YAO......

Hii ndio Porsche Cayenne ya Mchezaji wa timu ya taifa na Rubin Kazan ya Russia Obafemi Martins
Hii ni Bentley mpya ya mkali wa muziki Timaya
Chrysler 300 ya mwanamuziki W4..

Mtandao maarufu wa Nigeria wa Bella Naija, umeandika kwamba kila wiki huwa wanapokea email kutoka kwa mwanamuziki au muigizaji ambae amenunua gari jipya, ni email ambazo huambatana na picha ambapo mastaa wengi bado wanapenda kununua gari aina ya Range Rover.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms