Thursday, February 16, 2012

........KATIKA PICHA JINSI THE GREAT ALIVYOMTEMBELEA EMMANUEL MYAMBA OFISINI KWAKE.......

Akishuka katika gari yake tayari kwa kuingia ofisini kwake,hiyo ni ofisi yake kwa nje inavoonekana.
Hapa ni sehemu ya mapokezi,Myamba,The great na Makubi....
Nikiweka sahihi katika kitabu cha wageni.

Tukiwa ofisini kwa mkurugenzi Myamba,mie na kijana Nteze.
Emmanuel Myamba akimuonyesha Kanumba mitambo yake...

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms