Wednesday, February 1, 2012

......HUU UKATILI UTAISHA LINI??? NINGEKUWA NA MAMLAKA NINGEFUNGA MTU..........

Cheki picha hapo juu, mama na mtoto wakipata kipigo toka kwa jamaa huyo...... Je kumpiga mwanamke ni suluhisho la matatizo au ni upungufu wa uelewa????? Ningekuwa na mamlaka watu wa aina hii ningefunga wengi. Cheki jamaa lilivyomkaba mtoto bila huruma hata kidogo..EBOOO inakera ujue....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms