Friday, February 10, 2012

......DAVINA RAUDI KWA KISHINDO KWENYE GAME........

BAADA ya kimya cha muda, msanii wa filamu na maigizo Bongo Halima Yahaya 'Davina' amerudi kwa kasi katika tasnia hiyo kwa kushiriki katika filamu inayoitwa Diana.

Msanii huyo ambaye siku za nyuma aliwahi kuripotiwa kuwa hayupo hewani kutokana na mambo ya uzazi, kwa sasa yupo tayari kwa ajili ya kazi.

Baada ya mapumziko ya muda narudi kwa nguvu, nakuja na filamu ya Diana ambayo kila mtazamaji ataikubali.

"Uwezo bado upo ila kutokana na majukumu nilipumzika kidogo na sasa ni kazi tu,"

Filamu ya Diana imeongozwa na gwiji la filamu Bongo Single Mtambalike Richie Richiena kuwashirikisha wasanii kama Juma Chikoka Chopa, Cathy, Richie na wasanii wengine kibao wanaotamba katika tasnia ya filamu nchini.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms