Tuesday, February 28, 2012

.......COMMON & DRAKE KWA MARA YA KWANZA PAMOJA BAADA YA BEEF...........


Jarida la XXL limeripoti kwamba japo hakuna uhakika kama BEEF ya COMMON & DRAKE imeisha, kuna uwezekano wawili hao wakawa wamemaliza hiyo beef iliyoanza november mwaka jana, ambapo hiyo picha hapo juu wamepigwa juzi walipokutana NBA All-Star game.
Feb 12 mwaka huu, Common alisema hakuna tena ugomvi kati yao wakati akifanya interview na fuse TV japo kuna baadhi ya mitandao iliripoti kwamba usiku huo huo kulitokea kuvutana kati ya Drake na Common, baadae hizo stori zilikuja kukanushwa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms