Saturday, February 18, 2012

.......BIFU KATI YA LIL KIM NA NICKI MINAJ LAZIDI KUSHIKA KASI.............

Rapper Lil kim ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu track ya Nicki Minaj ya stupid h*e ambayo inasemekana ni dis kwake.
Kim ameukoleza moto wa ugomvi wake na Nicki Minaj baada ya kuweka wazi kwamba yeye ni msanii mkali mpaka sasa hivi, ambapo amemchukulia Nicki Minaj kama kikatuni kwa jinsi ambavyo huwa anaiweka sura yake na jinsi anavyoitumia sauti yake kwenye nyimbo na video zake.
Alipoulizwa kuhusu performance ya tuzo za Grammy aliyoifanya Nicki Minaj, Lil kim hakujibu hilo swali na kuuliza tena ni nani aliekua anaongelewa? alafu baadae akalipotezea.
Katika maongezi mengine baadae, Lil kim akiwa anacheka, alitoa dogo kwa Nicki Minaj kuhusu hiyo track ya stupid h*e kwa kusema “nina uhakika ninavyojisikia ndio kila mtu anajisikia hivyo hivyo, kama una track inaitwa stupid h*e basi na wewe lazima utakua stupid h*o”

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms