Monday, January 30, 2012

.......SIWEZI KUFANYA KOLABO NA DIAMOND - BOB JUNIOR......

BOB Junior amedai kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii Diamond ambaye walipatana miezi kadhaa iliyopita na kwamba alisema atafanya hivyo ili kuwazuga tu mashabiki.

Msanii huyo ametamka; Tuliposameheana nilitangaza ningefanya naye 'kolabo', kitu ambacho hakipo, ile ilikuwa ni kuweka mambo sawa ili kuondoa maneno maneno ambayo hayana maana,alisema Junior.

Alisema amelelewa kwenye mazingira ya dini ya Kiislamu ambayo hairuhusu binadamu kuwa na visasi na wazazi wake hawapendi kumuona akindikwa vibaya kwenye vyombo vya habari.

Junior alisema kamwe hawezi kufanya 'kolabo' na Diamond kutokana na mambo mbali mbali yanayoendelea kwenye jamii.

Ili nisiingie kwenye migogoro tena ni bora nikakaa mbali na Diamond, kujihusisha naye ni kuanzisha bifu ambazo kuzizuia ni vigumu.

Tangu siku ile hatujawahi kuongea wala kuwasiliana kwa lolote, cha msingi

1 comments:

priss said...

WE ACHA USHAMBA KWAHIYO ULIKUWA UNADANGANYA MASHABIKI ZAKO???????????????

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms