Tuesday, January 31, 2012

........SIUZI VITU FEKI MIMI - YVONE.......


MGHANA Yvonne Nelson, amecharuka na kudai kwamba maduka yake hayauzi vitu feki kama baadhi ya watu wanavyozusha ikiwemo mikoba na vifaa vingine vya kike.

Msanii huyo anasema: Nadhani watu ambao wanaeneza hizo habari wana mambo yao, sijui hata wananitafuta nini. Na naendelea na uchunguzi wangu nitawachukulia hatua.

Watu wanaweza kuja kuangalia kama kweli hicho wanachoambiwa ni kweli ama si kweli, lakini ni uzushi tu huo.

Msanii huyo mwenye maduka katika Jiji la Accra, anaamini kwamba huo ni uzushi wa watu wanaomwonea wivu kwa mafanikio yake.

1 comments:

priss said...

na hiyo mimacho ndo 2semeje??? hiyo ni juu yako uuze feki, original utajiju

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms