Wednesday, January 11, 2012

......SINTAH KUWAWEKA PAMOJA JUMA NATURE NA MR. BEAN NDANI YA FILAMU YA SITAKI DEMU......



MSANII aliyetamba kwenye kiwanda cha filamu enzi zile Sintah (J.Lo wa bongo) amesema kuwa anatarajia kutoa filamu ya mwaka ambayo ameipa jina la ‘Sitaki Demu’, huku ikishirikisha wasanii wengine kama Juma Nature na nyota wa vichekesho kutoka Marekani Mr. Bean mwenye asili kutoka uingereza.
 Sintah aliweka wazi kuwa anataka kufanya filamu kwa kuvuka mipaka zaidi na akaweka wazi kuwa kufanya filamu na Juma Nature hakumaanishi kuwa uhusiano wa kimapenzi utachipua upya…..

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms