Friday, January 6, 2012

.......NILIKIMBIA UMANDE KWA AJILI YA FILAMU.......


MSANII wa filamu bongo, Kenny Victor ‘Kenny’ pichani juu, amesema kuwa alikatisha masomo ya chuo ili aweze kufanya filamu kwani ni kazi ambayo ipo ndani ya ndamu yake.
Awali msanii huyo alikuwa akisoma katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM, ambapo alikatisha masomo yake akiwa mwaka wa pili.
Kenny alisema maisha yake yote yanaendeshwa na filamu kwani anaamini ni kazi ambayo itainua maisha yake na kufikia katika kiwango cha kuitwa tajiri.
Kenny alisema hata hivyo anahitaji kurundi shule kwani malengo yake yametimia ingawa anapenda kucheza filamu za mapigano.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms