Friday, January 6, 2012

.......NAPENDA KUOGESHWA....... FARAGHA NAPENDA KUDEKA.......


MISS Tanga 2005 ambaye sasa amejikita kwenye uigizaji wa filamu, Chuchu Hans (pichani) ameanika siri zake za chumbani kuwa awapo na ‘mpenzi’ wake mara zote hujisikia  yuko kwenye ulimwengu wa tofauti.
Akizungumza na paparazi wetu katika mahojiano maalum hivi karibuni, Chuchu alifunguka kuwa, mara nyingi awapo na mumewe ‘faragha’ hupenda kumdekea na hujisikia furaha zaidi pale anapobembelezwa kimahaba.
“Nikiwa na wangu wa ubani katika mazingira yenye utulivu kama vile chumbani, napenda kumdekea ili anibembeleze, lakini pia napenda sana kuoga naye kwani nafurahia pale tunapoogeshana na kusuguana mgongoni
........Kwa jinsi ninavyompenda…Mmmmmh jamani mapenzi ni matamu sana.......

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms