Friday, January 27, 2012

.......MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU AENDELEA KUSOTA MAHABUSU NA WAZAZI WAKE......


Mtoto Azra, akiwa amepakatwa na Baba yake mzazi akiwa na Mama yake mzazi wakati walipokuwa nje ya Mahabusu ya Mahakama Kuu jijini Mbeya wakati walipofikishwa kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili kwa kukutwa na madawa ya kulevya.

1 comments:

priss said...

sasa wanakaa kama familia ua? hebu kueni na huruma mwacheni mama yake akamlee.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms