Saturday, January 7, 2012

..........KANUMBA NDANI YA BBA 4 REVOLUTION..........

Lol baada ya kanumba kupigwa madongo enzi zile kuwa alivunjavunja lugha ya watu (english), safari hii kutinga tena ndani ya jumba hilo. Mtavyonzajeeee??? Kanumba anatinga ndani ya BBA 4 Revolution  kama mwakilishi wa watu maarufu kutoka Tanzania,Tunashukuru mungu kwa nafasi hii aliyoipata ndugu yetu Kanumba,Akhsante sana Movie Magic kwa kufanya mpaka ndugu yetu kupata nafasi hii,Watanzania watambue kwamba Kanumba siyo mwakilishi katika shindano hilo,Mwakilishi wa Tanzania atajulikana hivi karibuni

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms