Wednesday, January 4, 2012

.......JUST MTAZAMO!!!! HII NDO HALI YA WAFUNGWA BONGO.........

Picture by lady jay dee blog

5 comments:

Anonymous said...

sio kweli hiyo picha haijachukuliwa kwenye gereza la kibongo

karz said...

Unajua hizi selo zilijengwa enzi za mkoloni na zilikuwa designed ku-accommodate wafungwa/mahabusu 20 kila moja. Sasa hivi wanawekwa kama miambili hivi. Lazima mubanane hivi, unaweza kuwa m-kameron hivihivi!!!

Anonymous said...

it seems sio kenya tu wafungwa huteseka

Anonymous said...

Kuna hatua gani za kibinaadam kuchukuliwa ktk magereza yetu? Je nani anahusika?

Anonymous said...

Kumbe hapa bongo, ni bora kama kufungwa ni lazima basi heri ufungiwe magereza yaliyopo kanda za baridi kama Iringa, Arusha n.k!!!

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms