Thursday, January 19, 2012

.......HATIMAYE AJIRA ZA WALIMU ZATANGAZWA....... FUATILIA MESEJI HII ILI KUPATA MAJINA YA WALIMU YALIYOTANGAZWA........


Kwanza tunapenda wasalimu wakubwa wetu Shikamoo na vijana wenzetu Mambo vipi.. Tunatambua kuwa Wanavyuo wenzetu walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu Jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao. Tunapenda kuwapa tarifa kupitia mtandao wenu wa Matukio na wanavyuo (www.tzwanavyuo.blogspot.com) kuwa, Walimu wahitimu wote Jana usiku majira ya sa saba Nafasi hizo zilitangazwa Rasmi, Pia sisi Tunapenda kuwasilisha majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa Tunaomba mchukue Muda wenu kutazama kwa umakini majina yenu yote yapo hapa. Hongereni sana.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms