HABARI za kuaminika zinadai kuwa mtoto wa kike wa Beyonce aliyejifungua hivi majuzi( Blue Ivy Carter) anaishi kwenye nyumba ya kifahari ailiyoandaliwa na wazazi wake. Jay Z alidai kuwa hii ni sehemu tulivu kwa mwanae na itakuwa nzuri kwake. Wadau wandai kuwa nyumba hiyo ni ya kifahari ile mbaya na iko katika jiji la New York City.
0 comments:
Post a Comment