Monday, January 9, 2012

.........BEYONCE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE......


HABARI zinadai kuwa mwanamuziki Beyonce ametimiza ndoto zake kwa kujifungua mtoto wa kike, usiku wa juzi ulikuwa usiku wa kihistoria kwa mwanamuziki huyu kwani ndo usiku aliojifungua her baby girl. Habari zaidi zinasema kuwa Jay Z alionekana mtu mwenye furaha siku nzima ya juzi huku akihaha kwa kufanya maandalizi ya kumpokea mtoto wake huyo. Baada ya kujifungua Beyonce alimpatia jina la Blue Ivy Carter. So her baby's name is Blue Ivy Carter....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms