Sunday, October 23, 2011

..............JUSTIN BIEBER AND SELENA GOMEZ AT MALIBU BEACH..........




Wikiendi hii wapendao Justin Bieber na Selena Gomez walionekana wakichili kwa furaha katika beach moja inayoenda kwa jina la Malibu. Mda wote huo selena Gomez alionyesha kufurahishwa na uwepo wa mpenzi wake huyo.... Mabusu na mambo fulanifulani yalitawala kwa wingi kwa wawili hawa...

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms