Ngoja nijitulize mie...lol
Chukua hicho kipande....lol
Mambo ya kurishani..... lol
Wasanii kibao wa kike walikuja kushuhudia kuzaliwa kwa msanii mwenzao Shilole.
Vituko vya Lulu vilianzia hapa, akikimbilia ukumbini baada ya kuitwa na MC..... lol mtoto huyu bhana
Baada ya kufika alimparamia jamaa huyu kwa mabusu ile mbaya..... lol sijui alikuwa akimlingishia nani?....
Lulu akifungua shampeni
Hapa shetani akitaka kuchukua nafasi mchana mchana... Lol mtoto hashikiki
1 comments:
kicheche t2 huyu
Post a Comment