Starring Bongo Movie na Mtangazaji wa vipindi vya Bongo Movie na Wanawake Live vinavyooneshwa na ting’a kali No 1 kwa vijana aka 5-EATV, Joyce Kiria kwa sasa ruksa kumuita Mama Lincon, baada ya kujifungua mtoto wa kiume, siku ya Jumamosi tarehe 11 June, 2011 pande za Marie Stopes Clinic iliyopo Mwenge-DSM
Newly Born-Baby Boy anakwenda kwa jina la Lincon Henry Kilewo….Congrats!!
Newly Born-Baby Boy anakwenda kwa jina la Lincon Henry Kilewo….Congrats!!
0 comments:
Post a Comment