Monday, May 9, 2011

.........SIJUTII KUPIGA PICHA ZA UTUPU BALI ZINANIFURAHISHA- ASEMA TIERRA.......

(Na mwandishi wetu)
Habari za udaku zilizotufika ni kwamba mrembo Tierra amabye ni maarufu wa kupiga picha akiwa ndani ya bikini hajutii kupiga picha za aina hiyo, habari zinadai kuwa mrembo huyo huwa anafurahishwa sana na picha za bikini alizopiga mara anapoziangalia. Mwenyewe anadai kuwa anajikubali kwani ana umbo sex ambalo lina uwezo wa kumvutia mwanaume wa aina yoyote.....  Hayo ndo mambo ya majuu  kaka!!!!

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms