Thursday, May 19, 2011

.........KUMBE AMBER ROSE NI MCHARUKO???...... APIGA PICHA CHAFU KWENYE BEACH PARTY.........





(Nam mwandishi wetu)
Haya mambo siyo ya kushangaa kwa wenzetu majuu, Amber Rose (Pichani) apiga picha chafu kwenye beach party. Blog moja nchini marekani imeanika picha za Amber Rose ambaye alikuwa mwenyeji wa party hiyo, alionekana akiwa confortable kabisa kwenye picha hizo za utupu. Hapo ndo nikaconclude kwamba kumbe Amber Rose ni Mcharuko kwelikweli.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms