Wednesday, April 27, 2011

........NILIPIGA PICHA ZA UTUPU ILI NIMVUTIE MPENZI WANGU...


(Na mwandishi wetu)
Habari za udaku zilizotufika zinasema kuwa mrembo Marg Kenny alipiga picha za utupu ili amvutie mpenzi wake Jackium amabye alionekana kupunguza mapenzi yake kwake. Lakini hiyo haikuwa dawa ya kumvuta mpenzi wake kwani uhusiano wao uliingia kwenye migogoro zaidi baada ya mpenzi wake kuziona picha hizo. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Kwishiniiii.....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms