Thursday, April 21, 2011

...........KIBUTI NOMAAAAA..........



Aunt Ezekiel akiwa katika picha mbalimbali na watu tofauti
(Na mwandishi wetu)
Kutoka Tanzania
Kama ilivyo ada ya ukurasa huu, leo tunaweletea msanii kutoka Tanzania Aunt Ezekiel, Anti Ezekiel amewahi kuwa kwenye uhusiano motomoto na kijana mmoja aitwaye.................(Jina tunalihifadhi) ambaye walikuwa kama mke na mme kiasi cha Aunt Ezekeile kukabidhiwa usafiri na mamlaka yote. Kijana huyu alikuwa mme wa mtu kwa kukufafanuliwa zaidi. Lakini siku ilipofika mrembo huyu alibwagwa chini vibaya kiasi cha kutotak hata kuonana na kijana huyu. Cheki hizo picha juu jinsi alivyo mzuri huyu binti, lakini kibuti kilimulilia. Huyu atakuwa mrembo wa tatu kuandikwa na blog hii. Usikose kesho kumjua nani atapamba ukurasa huu wa KIBUTI NOMAAAAA.

KUANZIA LEO WAJANJA BLOG ITAKULETEA KIBONZO CHA USIKU MWEMA KILA SIKU  SAA MBILI NA NUSU USIKU. USIKOSE KIBONZO HIKI KWANI KITAKUWA BABU KUBWA KWA AJILI YA KUKULIWAZA WEWE MDAU WETU ULALE SALAMA.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms